22:45 Chelsea 0 - 1 Queens Park Rangers
22:45 Liverpool 3 - 0 Sunderland
23:00 Newcastle Utd 1 - 2 Everton
NB: Saa za Afrika Mashariki
Mhhh, hapa Chelsea imekuwa Liverpool na Liverpool imekuwa Chelsea!
Everton nayo imeongeza kasi kwa kuifunga Newcastle na kuivita shati Arsenal, huku Liverpool nayo inanyemelea!
Top ten ilivyo (point mabanoni): 1.Man Utd(52), 2.Man City(45), 3.Tottenham(39), 4.Chelsea(38), 5.Everton(36), 6.Arsenal(34), 7.West Bro(33), 8.Liverpool(31), 9.Swansea(29), 10.Stoke(29)
------------------------------------------------------------------------------------------------
Chelsea itajiimarisha kwenye nafasi ya tatu? Liverpool nayo itaanza vipi mwaka? Everton yenye point 33 itavuruga matumaini ya Arsenal yenye point 34?
No comments:
Post a Comment