15:45 Sunderland 1 - 2 Tottenham
18:00 Aston Villa 0 - 3 Wigan Athletics
18:00 Fulham 1 - 2 Swansea
18:00 Manchester Utd 2 - 0 West Bromwich Albion
18:00 Norwich City 3 - 4 Manchester City
18:00 Reading 1 - 0 West Ham Utd
18:00 Stoke City 3 - 3 Southampton
20:30 Arsenal 7 - 3 Newcastle Utd
NB: Saa za Afrika Mashariki
Mechi ya Arsenal v Newcastle ilikuwa piga nikupige mpaka ilipofikia 3-3, baada ya hapo Newcastle wakajisahau, bila hata huruma Arsenal awakufanya mzaha wakawapa Newcastle kichapo cha mbwa koko! Sio viziru namna hii......
Top 10 ilivyo (point mabanoni): 1.Man Utd (46), 2.Man City (39), 3.Tottenham(36), 4.Chelsea(35), 5.Arsenal(33), 6.Everton(33), 7.West Bromwich(33), 8.Stoke(29), 9.Swansea(28), 10.Liverpool(25)
--------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni mechi za funga mwaka, kila timu itajizama inamaliza katika nafasi gani! Man U, Man City, Tottenham, Arsenal ......
Kesho: Everton v Chelsea, Queens Park Rangers v Liverpool
No comments:
Post a Comment