16:30 Swansea 1 - 1 Manchester Utd
19:00 Chelsea 8 - 0 Aston Villa
NB: Saa za Afrika Mashariki
Chelsea wafanya karamu ya X-mass, mashetwani wekundu wavutwa shati !
Top 4 zilivyo (point mabanoni): 1.Man Utd (43), 2.Man City (39), 3.Chelsea (32), 4.Arsenal (30)
Mechi zinazofuata: Jumatano.....
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kazi kwa Man Utd kuongeza tofauti ya point, Man City ipa nafasi ya pili ikiwa na point 39, point tatu nyuma ya Man Utd. Chelsea ipo nafasi ya 8, ushidi wa point tatu utairudisha kurudi katika nafasi ya tatu.
No comments:
Post a Comment