14:45 Arsenal 1-2 Chelsea
17:00 Everton 3-1 Southampton
17:00 Fulham 1-2 Manchester City
17:00 Norwich 2-5 Liverpool
17:00 Reading 2-2 Newcastle
17:00 Stoke City 2-0 Swansea
17:00 Sunderland 1-0 Wigan
19:30 Manchester Utd 2-3 Tottenham
NB: Saa za Afrika Mashariki
Arsenal na Man utd zapigwa nyumbani, nao Wazee wa Bwawa la Maini wapata mteremko!
Msimamo ulivyo -Top ten (point mabanoni): 1.Chelsea (16), 2.Everton (13), Man Utd(12), 4.Man City(12), 5.Tottenham (11), 6.West Bromwich (10), 7.Arsenal (9), 8.Fulham(9), 9.Newcastle(9), 10.West Ham Utd(8). Liverpool ipo nafasi ya 14 na point 5
Kesho: 18:00 Aston Villa v West Bromwich
No comments:
Post a Comment