16:00 Zambia 1-0 Uganda
17:00 Central Afr. Rep 1-0 Burkina Faso
17:00 Cape Verde 2-0 Cameroon
17:30 Gabon 1-1 Togo
18:30 Ghana 2-0 Malawi
19:00 Liberia 2-2 Nigeria
19:30 Siera Leone 2-2 Tunisia
20:00 Ivory Coast 4-2 Senegal
20:00 Mali 3-0 Botswana
20:00 Sudan 5-3 Ethiopia
NB: Saa za Afrika Mashariki
Weekend hii hakuna Premier League, macho na masikio yanaelekezwa kwenye mechi za kirafiki, na kwa upande wa Afrika mwelekeo ni kwenye mchujo wa kuwania kucheza kwenye Africa Cup of Nations 2013.
Zambia ilinyakua kikombe hiki msimu huu wa 2012 baada ya kuwachapa Ivory Coast kwa matuta(angalia 13 Feb 2012- SAFARI YA PENALY ILIYOIPA ZAMBIA UBINGWA WA KOMBE LA AFRIKA).
Safari ya kuwania kucheza msimu ujao wa 2013 ndio hii.
No comments:
Post a Comment