21:45 Czech 1-0 Poland
21:45 Greece 1-0 Russia
NB: Saa za Afrika Mashariki
Umdhaniaye ndiye...............! Czech ba Greece zimesonga mbele. Russia na Poland zimeaga!
Russia kukubali kupigwa kimoja ndio ticket ya kurudi nyumbani, ingawa ina point 4 sawa na Greece!
Matokeo haya yamefanya Greece na Russia kulingana kwa magoli ya kufungwa, kufunga na point, hivyo Russia kutolewa kwa kuangalia record ya timu hizi mbili za nyuma na hivyo Greece kusonga mbele.
Poland nao wameaga michezo hii ikiwa na point 2 na imeshika nafasi ya 4 kwenye kundi hili, huku Czech imefikisha point 6 na kuongoza kungi hili
---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Russia inayo hakika ya kusonga mbele ikiwa na point 4, inahitaji point moja ya ziada.
Ngoma ipo kwenye mechi ya wenyeji wa michezo hii Poland yenye point 2, dhidi ya Czech yenye point 3. Mshindi wa mechi hii atakuwa na hakika ya kusonga mbele, wakati matokeo ya sare yataipa Poland ticket ya kuaga mashondano haya.
Poland, wenyeji wenza wa Ukraine kwenye Euro 2012, watakubali kuaga mashindano ama?
Kesho kundi B: Denmark v Germany, Portugal v Netherland
Kwa mechi za Africa Cup of Nations, angalia hapo juu.
No comments:
Post a Comment