19:00 Italy 1-1 Croatia
21:45 Spain 4- Republic of Ireland
NB: Saa za Afrika Mashariki
Kwa matokeo haya, ingawa bado imebakiza mechi moja dhidi ya Italy, Ireland imekuwa timu ya kwanza kuaga michuano hii, kwani aina point hata moja katika kundi hili la C.
Italy nayo ipo hatarini kutoka, kwani inapoint 2, wakati Spain na Croatia kila moja ina point 4.
Kesho Ukrain v France, Sweden v England
No comments:
Post a Comment