Tanganyika2day
Wednesday, 16 May 2012
OBAMA AIPONGEZA LA GALAXY, DAVID BECKHAM BADO YUMO
Rais Obama ameipongeza timu ya LA Galaxy kwa kuchukua ubingwa wa MLS 2011.
David Beckham (37) alihamia LA Galaxy tokea Real Madrid mwaka 2007, bado anavuma na uenda ataiwakilisha Uingereza kwenye michezo ya Olympic.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment