17:00 Blackpool 1-2 West Ham
Kwa ushindi huu West Ham United imeungana na Reading na Southampton kushiriki Ligi Kuu ya Uingereza msimu ujao!
-------------------------------------------------------------------------------------------------------
NB: Saa za Afrika Mashariki
Ni Mechi ya kutafuta timu ya tatu itakayopanda kushiriki Ligi Kuu ya Uingereza msimu ujao.
Timu mbili kati ya tatu tayari zimeshapata hakika ya kushiriki Ligi Kuu msimu ujao, nazo ni Reading na Southampton zilizoshika nafasi ya kwanza na ya pili kwenye Ligi ya hii Championship ya Uingereza.
Timu hizi 3 zinazopanda kushiriki Ligi Kuu msimu ujao zinachukua nafasi ya timu 3 zilizoshuka na ambazo zitashiriki kwenye ligi hii ya Championship msimu ujao. Timu zilizoshuka tokea Ligi Kuu ni Wolves, Blackburn na Bolton.
Ni West Ham ama Blackpool kupanda?
Kwa fainali ya Uefa Ligi ya Mabingwa (Champions League) angalia hapo chini.
No comments:
Post a Comment