Sunday, 12 February 2012

MECHI ZA 12 FEB 2012 - AFRICA CUP OF NATIONS

Final:
22:30 Zambia 8-7 Ivory Coast (dk 120: 0-0 , Penalt: 8-7)

NB: Saa za Afrika Mashariki

Baada ya kutoka 0-0 katika dakika 90 na dk 30 za ziada, matuta yameamua mshindi na hatimaye Zambia aka wana Chipolopolo wameibuka kidedea na kuwa mabingwa wa kombe la Afrika.   

Hongera kwa wana Chipolopolo.

Hatimaye kikombe kimeshuka kusini mwa bara la Afrika, Chipolopolooooo hoyeee!

No comments:

Post a Comment