NB: Saa za Afrika Mashariki
-Kitendawili kimeteguliwa! Baada ya kupasha joto bench Thierry Henry aliingia dk ya 68, na katika dk ya 78 aliipatia Arsenal bao la ushindi na pekee kwenye mechi hiyo!
-Arsenal wameingia round ya nne na watapambana na Aston Villa tarehe 28 Jan
No comments:
Post a Comment