Mpambano mwingine wa kukata na shoka usiku wa kuamkia kesho ( asubuhi mapema)
Unakumbuka Amir Khan (Mwingereza) alipoteza kwa Peterson (Mmarekeni) weekend iliyopita? ( kujua zaidi angalia - MASUMBWI- AMIR KHAN APIGWA NA LAMONT PETERSON )
Huu ni mpambano mwingine wa Super-Middleweight unao wakutanisha Froch (Mwingereza) na Ward (Mmarekani)!
Kupata mwanga kiduchu angalia upimaji uzito kwenye link hii- http://www.youtube.com/watch?v=k45wVWgNBsk
Tusubiri matokeo kama Ward atafuata nyayo za Peterson kuchukua ubingwa.
No comments:
Post a Comment