Ikiwa ni kwa mara ya tatu wanakutana, ambapo mpambano wa kwanza ulikuwa sare(draw) na pambano la pili Parquiao alipata ushindi wenye utata. Hivyo kwa mara ya tatu leo nani atapata ushindi wa wazi?
Pacquiao ni congessman wa jimbo la Sarangani nchini Philippines, anatarajia kugombea kuwa Governor wa jimbo hilo mwaka 2013. Pia anajipanga kugombea kuwa Senate mwaka 2016 na kugombea urais mwaka 2022 atakapokuwa na umri wa miaka 40.
Angalia upimaji uzito- http://www.youtube.com/watch?v=MY4SevjxYEA
No comments:
Post a Comment