Ukiona hilo jina utajiuliza, who is he?
Kama unamjua Adele ama Amy Winehouse (RIP) umeshajua sauti za music wa soul ziko vipi. Kwa kifupi makazi yake ni London na wazazi wake walitokea Uganda .
Jibu nililipata baada ya kuingia , http://www.youtube.com/user/MichaelKiwanukaMusic .
No comments:
Post a Comment