Wanasema 'hakuna marefu yasiyo na ncha'
Baada mtoto wa Gaddafi , Saif Al- Islam kushikwa jana , leo hii ni zamu ya kachero mkuu wa Gaddafi Abdullah al-Sanussi kuwekwa mikononi mwa serikali ya mpito ya waasi NTC nchini Libya.
Saif Al-Islam na Abdullah al-Sanussi wanahitajika mahakama ya kimataifa kujibu mashtaka yakiwemo ya ukandamizaji wa haki za binadamu wakati wa utawala wa Gaddafi.
Who is next? Moussa Ibrahim!
No comments:
Post a Comment