Matokeo hayo yamethibitisha mgombea wa CCM Dr. Peter Kafumu kuibuka kidedea kama ifuatavyo:-
Mgombea Chama Kura %
Peter Kafumu CCM 26,484 50.46
Kashindye CHADEMA 23,260 44.32
L Muhona CUF 2,104 4.00
Stephen M AFP 235 0.45
Hassani .R. R CHAUSTA 182 0.35
John M Maguma SAU 83 0.16
Said .M .C DP 76 0.14
Hemed R D UPDP 63 0.12
Jumla(Kura halisi) 52487
No comments:
Post a Comment