Algeria 2-0 CAR
Morocco 3-1 Tanzania
Ohhh noooooo! Kwa mtaji huu sio tu tumetolewa kwenye mashindano bali tumeshika mkia kwenye Grop D kama ifuatavyo-
Team Points
Morocco 11
CAR 8
Algeria 8
Tanzania 5
Kama vijana wetu wangejitahidi dakika za mwisho kupata magoli mawili kama Morocco walivyofanya , tungesonga mbele, lakini sababu ngombe wa maskini........., bahati aikuwa yetu. Tusubiri msimu ujao.
No comments:
Post a Comment