Taifa stars inahitaji kushinda kesho (Jumapili) ili isonge mbele kwenye michuano ya Africa Cup of Nations. Msimamo wenyewe katika group D ni kama ifuatavyo:-
Team Points
Morocco 8
Central Africa Rep(CAR) 8
Tanzania 5
Algeria 5
Sunday,09 Oct 2011 , (Time- saa 4:30 usiku) : Morocco v Tanzania
Algeria v CAR
Kwa mtaji huo Taifa Stars lazima ishinde kwa magoli mengi si chini ya mawili, na Algeria inyakue point zote bila kufungwa bao hata moja dhidi ya CAR . Mbona ngoma nzito sana!
NB: -match imeisha- Algeria 2- 0 CAR
- Morocco 3-1 Tanzania
-kwa matokeo hayo Morocco na CAR wamesonga mbele, na Algeria na Tanzania tumetolewa kwenye mashindano.
No comments:
Post a Comment