Saturday, 15 October 2011

HAMILTON ACHUKUA POLE KWENYE KOREAN GRAND PRIX

Too close for comfort: Lewis Hamilton and Felipe Massa have collided four times this season

Ingawa Vetel ameshachukua ubingwa wa msimu huu, lakini kwa Hamilton kazi bado aijakamilika!

Hamilton amechukua pole position kwenye qualifying leo na kumsambaratisha Vetel aliyetawala tangu msiku kuanza.

Waliomaliza kwenye top ten ya leo ni :-
1.Hamilton  2.Vetel  3.Button  4.Weber  5.Massa  6.Alonso  7.Rosberg  8.Petrov  9.Di Resta  10.Sutil

Lakini furaha ya Hamilton itakamilika kama atashinda kwenye race kesho saa 3 asubuhi.

NB: race za kesho ni saa 3 (kwa time za Afrika Mashariki)

No comments:

Post a Comment