-Djokovic v Nadal
-time 23:00 (saa tano usiku time za Afrika mashariki)
Djokovic kuendeleza ubingwa leo! fuatilia matokeo hapa baadae
NB- Serena Willams ameshindwa kwenye final kwa 2-6, 3-6 dhidi ya Stosur, na uenda Serena akapigwa fine hata kufungiwa kwa muda baada ya kujibizana vibaya na msimamizi wa mechi!
bofya hapa kuona mzozo wenyewe - http://www.youtube.com/watch?v=PNMSMq9VxV8
No comments:
Post a Comment