Tuesday, 13 September 2011

TENNIS -MATOKEO YA US-OPEN FINAL

Djokovic amsambaratisha Nadal bila huruma kwa ushindi wa 6-2,6-4,6-7,6-1 .

Kwa matokeo hayo Djokovic amejikusanyia ushindi wa Grand Slam mara tatu mwaka huu, ikiwa ni US Open, Australia Open na Wimbledon (UK), na Nadal kushindwa mara sita na Djokovic.

No comments:

Post a Comment