Sunday, 18 September 2011

MAYWEATHER AMSAMBARATISHA ORTIZ

Ukitaka kujifunza uhuni katika boxing lazima uwe umehitimu vizuri, somo hilo alipata Ortiz kutoka kwa Mayweather!

Ortiz alijaribu kutumia uhuni wa kurusha masumbwi na kutumia kichwa kupata ushindi , lakini alijisahau kwamba Mayweather alihitimu uhuni siku nyingi. Ortiz alifanya mchezo mchafu katika round ya nne, hivyo wakati wakigonganisha mikono na hug kama njia ya kuomba msamaha, Mayweather bila kupoteza wakati alirusha fataki zilizomaliza pambano kwa KO.

-angalia nini kilitokea- http://www.youtube.com/watch?v=6yg1aiFA1M4

NB- kazi kwa Amir Khan na Manny Pacquiao, kati yao nani atapata nafasi ya kupambana na Mayweather,  na lini pambano hilo litafanyika? Lets wait n see!

No comments:

Post a Comment