Usain Bolt akuweza kushiriki final za mbio za 100m kufuatia disqualification baada ya kuanza kasi kabla ya wakati. Hata hivyo Usain anaweza kuonyesha manjonjo yake kwenye mbio za 200m na 4*100m
yaliyojiri - http://www.youtube.com/watch?v=1062VEX2EfI
Kwenye Formula 1 Lewis Hamilton naye mambo yalimwendea mrama baada ya kugongana na Kobayashi (http://www.youtube.com/watch?v=z48QsD1H0sM ), Hamilton alikuwa kwenye hali nzuri kupata point nzuri kama sio ushindi, angalau kuongeza ushindani kwa Vetel aliyeshinda akifuatiwa na Weber na Button.
Siku ilikuwa nzuri kwa Button aliyeanza nafasi ya 13 na kumaliza nafasi ya 3, na Schumacher alianza nafasi ya 24 na kumaliza akiwa nafasi ya 5.
No comments:
Post a Comment