Eneo ambalo kilirushwa na kudondokea kitu kinacho dhaniwa kuwa ni bomu
Balozi wa Vatican nchini na ujumbe wake walioudhuria uzinduzi na hawakupata madhara yoyote. Balozi huyo alikuwa katika hatua za kukata utepe mbele ya kanisa hilo kuhashiria ufunguzi wa kanisa hilo ndipo mlipuko huo ulipotokea.
Pichani juu ni eneo la mbele la kanisa hilo na kushoto ni Balozi huyo na mapadri katika hatua za mwisho muda mfupi kabla ya mlipuko.
No comments:
Post a Comment